Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Ushauri wångu kwa zīdane ajipange tu hasije ķufukuzwa
IMG-f91c9ebcc4d76da05711cd491bc5b1f7-V.jpeg
 
Sijaelewa mantiki ya Zinedine Zidane kurudi tena kuifundisha Real Madrid.

Kipi kimemsibu Florentino Perez na menejimenti kiujumla??

Yote kwa Yote ilikuwa ni suala la muda jambo hili litimie,Natumai wachezaji na benchi zima la ufundi morali itarudi upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hawana shukurani.
 
Haya yatakuwa ni maamuzi ya wachezaji lakini ukweli ni kwamba Madrid hata kipindi cha Zidane haikuwa kuwa stable


Zidane hakuwahi kubeba La Liga pamoja na kubeba CL..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap, hata ilivyochukua uefa ni kizari sana, kikosi kilikuwa cha kusukwa tena upya, la zidane kurudi, angeacha tu heshima aliyoijenga mara ya Kwanza otherwise watamtimua mapema sana,
 
Alijaribu kuvizia MANUTD na CHELSEA, wakamchunia! Abaki huko huko, England presha juu kila wakati!
Hahahaaa, eti kuvizia. Hivi kocha mwenye success kama Zidane ni wakuvizia timu? Baada ya kuondoka Madrid alisema anapumzika.

Coments za wengi humu ni maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine mlitegemea aende kwenye timu zenu huko ila ndio hivyo.
Gadiola anawanyoosha huku na pressure zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom