Halafu nakumbuka kuna watu walisema Guadiola Epl angefeli maana alifundisha ligi isiyokuwa na ushindani ona sasa Liverpool alikua anaongoza point 9 now amezidiwa yeye point 1Hahahaaa, eti kuvizia. Hivi kocha mwenye success kama Zidane ni wakuvizia timu? Baada ya kuondoka Madrid alisema anapumzika.
Coments za wengi humu ni maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine mlitegemea aende kwenye timu zenu huko ila ndio hivyo.
Gadiola anawanyoosha huku na pressure zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo swali atakujibu King Messi mwenyewe stay tunedKwani Zidane hakuifundisha madrid na huyo paka mess wako hakuwepo
Super hero daddy
Nilikua namjibu huyo jamaa mkuu anasema Clop anateseka. Wamebadili hawasemi Gadiola atateseka tena.
Nilikua namjibu huyo jamaa mkuu anasema Clop anateseka. Wamebadili hawasemi Gadiola atateseka tena.
Anazungumzia Clop aliyetokea Bundas anamwacha Gadiola aliyeanzia alipo Zidane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu EPL, nguvu nyingi kuliko akili.Hao tushawazoea wanasema spain ligi mbovu ila miaka 5 UEFA haijatoka nje ya spain
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio anaenda kuchafuka kabisa na ukocha wake ndio anaenda kuutia nuksi. Huyu na Gudiola hawana tofauti wanapenda Timu zenye mpunga mrefuLabda atamrudisha Ronaldo wake, kile kismati hakiwezi kuja tena kwa huyu Zidane
Sent using Unknown device
Kocha gani anaependa timu isiyo na hela??Hapa ndio anaenda kuchafuka kabisa na ukocha wake ndio anaenda kuutia nuksi. Huyu na Gudiola hawana tofauti wanapenda Timu zenye mpunga mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, sidhani Kama atapata kismat tena. Jamaa anaenda kuharibu jina lake pale Bernabeu,Labda atamrudisha Ronaldo wake, kile kismati hakiwezi kuja tena kwa huyu Zidane
Sent using Unknown device
Ukweli Zidane kakosea naona kama ataharibu CV yake ila hatujui kilichomtoa na kumrudisha hapa ni kama umetoa talaka halafu unaenda kuowa tena. angeweza kwenda kujipima sehemu zingine na tujuwe kama ni kweli kocha wa kiwango maana kushinda na Madrid kwangu sio kipimo. aombe Mungu afanikiwe ila akichemka tu na yeye atapotea watu wataona team ilikuwa nzuri tu lakini hakuna Tactic wala kipya. pia baadhi ya wachezaji umri na kujenga team inachukuwa muda. ukweli kurudi imepoteza mvuto fulani hivi sijui lakini tusubiri...
La Liga Pia ni Ligi mzee Muulize SolariChelsea? Kwani epl ni mchezo pale ni mziki eti... Amuulize klopp
Super hero daddy
Amebeba bhana laligaHaya yatakuwa ni maamuzi ya wachezaji lakini ukweli ni kwamba Madrid hata kipindi cha Zidane haikuwa kuwa stable
Zidane hakuwahi kubeba La Liga pamoja na kubeba CL..
Sent using Jamii Forums mobile app