Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Hahahaaa, eti kuvizia. Hivi kocha mwenye success kama Zidane ni wakuvizia timu? Baada ya kuondoka Madrid alisema anapumzika.

Coments za wengi humu ni maumivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine mlitegemea aende kwenye timu zenu huko ila ndio hivyo.
Gadiola anawanyoosha huku na pressure zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nakumbuka kuna watu walisema Guadiola Epl angefeli maana alifundisha ligi isiyokuwa na ushindani ona sasa Liverpool alikua anaongoza point 9 now amezidiwa yeye point 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni kama amefanya vibaya kurudi, maana hata angeenda timu nyinginezo angeweza kufukuzwa tu maana hizi timu kubwa jiandae kufukuzwa saa yoyote ikiwa matokeo hayawaridhishi viongozi wa timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...anarudi kujenga team maana hao akina Marcelo wameshashiba .ni muda wa akina vincious jr na Vasquez kutengeneza combination
 
Hao tushawazoea wanasema spain ligi mbovu ila miaka 5 UEFA haijatoka nje ya spain

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu EPL, nguvu nyingi kuliko akili.
Utetezi wao watakwambia Laliga ni timu 2 tu Baca na Madrid, wakati wakikutana na hizo nyingine zinawagonga tu.

Wanasahau Madrid na Baca kwa misimu kadhaa sasa wamekua kwenye level ya peke yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulieni mshangilie timu zenu, Zidane kasema anaipenda sana Real Madrid. President amemuomba kuja kuokoa jahazi kakataa kuongea kuhusu usajili kasema anaanza kazi kesho jumanne na focus ya game 11 zilizobaki. Mnaosema atafeli hamjui mkataba wake una thamani ya EUR milioni ngapi. Utafeli wewe na betting yako kwa muhindi
 
Bora Amerudi Timu Yetu Angeenda EPL angedhalilika tu . Barcelona Jiandaeni Kwa Vichapo HALA HALA MADRID
 
Ukweli Zidane kakosea naona kama ataharibu CV yake ila hatujui kilichomtoa na kumrudisha hapa ni kama umetoa talaka halafu unaenda kuowa tena. angeweza kwenda kujipima sehemu zingine na tujuwe kama ni kweli kocha wa kiwango maana kushinda na Madrid kwangu sio kipimo. aombe Mungu afanikiwe ila akichemka tu na yeye atapotea watu wataona team ilikuwa nzuri tu lakini hakuna Tactic wala kipya. pia baadhi ya wachezaji umri na kujenga team inachukuwa muda. ukweli kurudi imepoteza mvuto fulani hivi sijui lakini tusubiri...
 
Kilichomtoa ndicho kilimchorudisha, soma terms zake za kurudi utaelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom