Zizzou arejea tena Santiago Bernabeu

Halafu hawajui kuwa kwasasa Madrid haina presha maana haigombei taji lolote hivo, ni muda mzuri kwake kuisuka timu bila bugdha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Zidane hakuifundisha madrid na huyo paka mess wako hakuwepo

Super hero daddy
Punguza ushabiki na chuki. Zidane anaelewa nguvu ya Messi na anaheshimu uwepo wa Messi. Kwa miaka mitatu ambayo Zidane alikua kocha wa Real Madrid, alifanikiwa kuchukua ubingwa wa La Liga mara moja tu na hakufanikiwa kuchukua kombe la mfalme hata mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pep Guardiola amekwenda EPL kuwa usiempenda kaja. Waliokua wanamponda na matusi ya kila aina siku nyingi sana walishakubali wanakuambia Pep kocha wa mafanikio na records.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaenda kufeli

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Hapa ndio anaenda kuchafuka kabisa na ukocha wake ndio anaenda kuutia nuksi. Huyu na Gudiola hawana tofauti wanapenda Timu zenye mpunga mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli et wanapenda timu zenye mpunga mrefu. Sema wanapenda timu zinazotaka mafanikio. Na kwa sasa mpira ni pesa. Bila kuwa na pesa utaishia kuwa msindikizaji kama Arsenal. Nitajie timu yenye mafanikio na haitumii pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichoandikwa hapa ni uoga wa maisha. Uoga wako ndio umasikini wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ya Man City hata angepewa Moyes ingesumbua tu.
Tuache au tupunguze chuki. Man Cty hii hii kabla ya Pep Guardiola walipita makocha wengine na tulishuhudia wakiteseka. Leo hii tunashuhudia Mourinho alivyoteseka na Man Utd timu yenye wachezaji ghali zaidi, pia tunashuhudia Maurizio Sarri akiteseka pale Chelsea timu ya tajiri mkubwa. Ndugu hautaathirika kwa namna yoyote ukikubali kuwa Man Cty inatesa kwa sababu ya uwezo wa kocha Pep Guardiola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…