Zlatan The Assassin

Zlatan The Assassin

Kuna mchezaji mwenzake alihojiwa juzi kati akasema alivyoondoka Ibrahimovic alifurahi sana maana alikuwa kila siku mazoezini anamtania anamwambia naona umewahi mazoezini ili uje ukae kwenye benchi kesho.
 
Alimkataga mwenzake kofi kisa kafunga goli na kuvua jezi, huyu ndo captain sasa, sio beauty beauty
 
Wachezaji wababe ''Aggressive'' jamii ya Ibra kwenye soka hua hawakosekani,
Nawakumbuka wababe hawa,

Gennaro Gattusso,
Jaap Stam,
Pepe,
Diego Costa,
Scholes,
Balloteli,
Nigel De jong,
Diego Costa,
Sergio Ramos,
Eric Cantona,
Roy Keane...
Patrick Vieira vs Roy Keane 🫡

Battle isiyosahaulika Uingereza
 
Siku hIz wanesalia school boys wanaume wachache sn
Nilikuwa nawaambia baadhi ya watu kuwa Soka limebadilika sana

Kwa mfano tu, angalia aina ya hawa mabeki wanaomkaba Ronaldo de Lima

Je Mtu kama Haaland angetembea hapa?
images%20(9).jpg
 
Back
Top Bottom