kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Ubinafsi uroho na ulaku wa kupiga hela ya umma unapelekea miradi nchini Tanzania kutolewa hela mara mbili au hata tatu.
Kwa mfano hili zoezi la anuani za makazi linalopigiwa kelele na hii inayojiita awamu ya sita kwa wenye kumbukumbu ni project ilishatolewa fungu tangu awamu ya 4 mwanzoni. Wala haihitaji wahenga kutolea maelezo. Mradi unakopewa hela and then zinafisidiwa mradi haukamiliki.
Huku bila wananchi kuelezwa mradi uliisha vipi tunaona tena fedha zinatengwa na kuunganishwa na mradi wa kuhesabiwa watu.
Tumeona waziri eti anazunguka nchi nzima na helicopter bila shaka ya kukodi ili walambe asali. Ni ubadhilifu juu ya ubadhilifu watu wakisema wanaambiwa eti ni wivu.
Kwa kweli nchi hii imeingia mkononi mwa wahuni.