Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Wanawatesa sana mateka wapalestina ndio mana HAMAS ikapata ujasiri wa kuvamia kambi za jesh 4 ili kuwanusulu wenzao kutoka kwenye mikono ya magaidi wa Israel mtu umvamie kwenye ardhi yake na kisha uwatese raia wake kama ivo,, kweli wapalestina wamepitia mengi sana,
 
Waisrael wenyewe ata sura zao tu zinaonesha wameshindwa vita jambo linawaumiza vichwa zaid kwann wasikubali tangu mwanzo badala ya kusubili maafa watoto wao wengi wamekufa baba zao wamewatuma kazi ngumu kwao wkt ilikuwepo fursa tangu mwanzo kuafikiana bila maafa hii kitu iwasumbua sana watu kwenye mitandao yao wanawatukana kuwa awana Akili na nikweli awana Akili!!!
Lkn waisrael wa kwareli uku wanakwambia wapalestina ndio wameshindwa vita!!!!
 
Back
Top Bottom