Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Uchumi wa kati haujafikiwa ndege kutoka FAO, rubani kutoka Kenya halafu utakuta kuna mtu anasema tuna kila kitu
Tena huku akibeza hao hao tunaotumia facilities zao na kuwaita wengine mabeberu
 
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.

Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hata gari dereva huwa na muda wa kikomo kuliendesha bila kupumzika, rubani huwa na muda wa kukaa angani ukiisha lazima apumzike, hilo siyo lori la TOT, waziri hana mamlaka ya kumhoji rubani huyo ambaye yeye hajamuajiri.
 
Dili tu za watu. Ukienda hapo Kilombero sugar ndege za kunyunyiza dawa zipo karibu kila week.
Ila kama nazo hukodiwa kutoka Kenya, basi kutakua na shida ya kimfumo.

Tuombeane maendeleo.
Ndege hiyo si ya Kenya ni ya jumuia, hauhitaji kuwa na ndege wakati nzige hutokea kwa nadra sana, ni sasa na kununua Blueband wakati hakuna bekari.
 
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.

Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hapo serikali ijiongeze sasa,isomeshe maruban wake na hapo ule msemo wa kiswahili "mtegemea cha ndugu hufa masikini" ndio unafanya kaz
 
UKIIIJUA KWELI ITAKUWEKA HURU
ATUPE UKWELI ELSE RUBAN MPAKA ANAONDOKA AMEJIELEWA
 
Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya.

Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini ameondoka , au aliyepewa hiyo Kazi hajamlipa maana tusikiimbilie kumlaumu ,kunakuwaga na ujanja ujanja mno kwenye hizi tenda hasa kama aliyemkodi analeta ujanja ujanja wa kumlipa ...
Lakini kama kila kitu kilikuwa sawa na bado akaondoka itakuwa na maana alitaka kutuhujumu....huyo hatuna haja ya kulalamika ,tutume watu wakahangaike naye ,
 
Yaani vijana wa chadema mmekaa tu hapa JF mnalalamika ,

Hakuna hata mmoja ambaye anaweza kuendesha ndege akawakilishe Chadema katika hilo??

😂😂 Nakazia, hakuna kijana wa Chadema hata mmoja anajua kurusha ndege. 😂✅🔰 Chadema wanafikiria ndege ni kama yale magari yao ya M4C, haa what a waste. Na mwingine anasema eti hatuwezi fukuza nzige kwa malimao na tangaziwi, imagine🤔 hawa vijana wa Chadema, vichwa kama vibuyu, vikubwa kwa nje, ndani empty minds, zero kabisa..
 
Back
Top Bottom