Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

Ila kwa sababu huko Kilimanjaro na Arusha huwa wanapinga ccm wasimwagie dawa
 
Aliyeondoka ni Mtanzania wa CCM toka Kenya ina maana mlikuwa na pilot mmoja tu bila mwingine wa CCM wa kupokezana nae? MaCCM yanafikiri kunyunyizia nzige ni kazi rahisi kama kubeba mabegi meusi!
 
Dili tu za watu. Ukienda hapo Kilombero sugar ndege za kunyunyiza dawa zipo karibu kila week.
Ila kama nazo hukodiwa kutoka Kenya, basi kutakua na shida ya kimfumo.

Tuombeane maendeleo.
Ndege za dawa nyingi ukisoma tail number utakuta imeanza na 5Y maana yake imesajikiwa Kenya
 
 
Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho itatumika ndege ya Shirika la Chakula Duniani FAO.
Zamani miaka ya 1970 n1 1980 kulikuwa na ndege za hiy kazi pale Arusha kama sijakosea kuna zingine zilipigwa mnada kwa bei ya kutupwa
 
Hawa locusts

Nawaona Kama chadema Ni wakuuwa kwa dawa kali bila huruma
 
Zamani miaka ya 1970 n1 1980 kulikuwa na ndege za hiy kazi pale Arusha kama sijakosea kuna zingine zilipigwa mnada kwa bei ya kutupwa
Sawa kabisa. Hizo ndege zilikuwa za Serikali zikimilikiwa na Wizara ya Kilimo zikitumiwa na Kituo chake cha Bird Control kilichokuwa kule Arusha ambacho nacho kimekufa. Shirika la nzige lilikuwa linathibiti hao panzi, Kituo cha Bird Control kilikuwa kinathibiti ndege waharibifu na viwavi jeshi kwa hiyo Taasisi hizi mbili zilikuwa zinashirikiana sana mpaka Shirika likajenga Ofisi zake Arusha karibu na Kituo.
 
Sisi ni wabovu sana kwenye ku sustain miradi, tunachoweza ni procurement tu, tukishapata 10% tuna dump mitambo na kujipanga kuhujumu mradi tulioanzisha wenyewe kwa fedha zetu wenyewe
 
Kilimo anga kipo mbioni kufufuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…