Licha ya Viongozi kusisitiza kuharakisha na kukamilika kwa zoezi la Ugawaji wa Anwani za makazi ifikapo mwezi Mei mwaka huu 2022 lakini uchunguzi umebaini bado zoezi hilo linasuasua ktk baadhi ya maeneo mengine ktk Jiji la DSM.
Ikumbukwe zoezi hili ni muhimu sana kwa Taifa letu hivyo ni muhimu watendaji wa zoezi hili wakafuatilia mchakato huu kwa karibu sana, kuna baadhi ya wenyeviti wa mitaa na Serikali za mitaa hawapo serious na zoezi hili.
Mawaziri husika, wabunge na madiwani wa maeneo husika fuatilieni zoezi hili kwa ukaribu.
Nawakumbusha tena viongozi wote wenye dhamana ya kulisimamia zoezi hili, timizeni wajibu wenu, kama ktk Mkoa wa DSM tu zoezi linalega vipi huko pembezoni?!!