Zoezi la Ugawaji wa Anwani za Makazi bado linasuasua

Zoezi la Ugawaji wa Anwani za Makazi bado linasuasua

Kuna baadhi ya viongozi hawawezi kuwajibika bila kusimamiwa au bila kufokewa, hivyo ukali ni muhimu sana maana binaadamu hatufanani.
 
kumbuka hili zoezi ni la msingi sana kwani litafanya kazi ya Sensa kuwa rahisi na ya uhakika.
tatizo serikali inaangushwa na watendaji wabovu.
zilongwa mbali zitendwa mbali.
Bibi alishasema, watumishi wafanye kazi kwa utashi wa mioyo yao na sio kwa nidhamu uoga.
Ngoja tusubiri matokeo.
 
Nilisikia kuwa wizara 3 zilipewa jukumu hili la kuhakikisha zoezi hili linakamilika kwa wakati;

1. Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi.

2. Tamisemi

3. Wizara ya mawasiliano.

4. Ofisi ya Takwimu

kwa nguvu hii ya pamoja nitashangaa endqpo zoezi hili litashindwa kukamilika kwa wakati ulio pangwa.
 
Pesa wanayolipa vijanay ni ndogo Kiufupi morali ya kazi vijana wengi imeshuka wengine wamekinbia na wengine wanafikiria kukimbia.
 
Msiwatishe jamani waacheni wafanye wanavyojisikia

Nchi huru hii.
 
Back
Top Bottom