Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika.

Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza.

Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa vyama vya msingi katika kuhujumu mazao, Pembejeo na mali za wakulima.

Wengi wao si waaminifu na wanazibia makosa/kuwakingia kifua makatibu wa vyama vya msingi ambao ni wezi na wabadhilifu.

Migogoro mingi ya wakulima chanzo ni makatibu wa vyama vya ushirika na Maafisa ushirika.
 

Attachments

  • instagram_video_1652855929593.mp4
    3.8 MB
Back
Top Bottom