johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukumbimi hali ni shwari na Ulinzi umeimarishwa zaidi.
Unafanyika usafi pale katikati palipokuwa panafanyika zoezi la uhakiki
Watu wote wametulia wakisubiri matokeo
Kenya ni moja
Tukio liko mubashara Citizen tv
Yanayojiri;
Wageni wanaendelea kuingiza ukumbimi na tayari Wagombea wawili wa Urais wameshaingia ukumbini Ruto na Raila bado hawajaingia
Ulinzi ni imara kweli kweli ndani ya ukumbi
Kambi ya Rutto inaonyesha furaha zaidi kuliko zile kambi nyingine mbili
Matokeo rasmi yatatangazwa saa 9.00
Ulinzi umeimarishwa mara dufu ndani na nje ya ukumbi
Wakati huu Kwaya mbalimbali zinaendelea kutumbuiza wageni waalikwa
Ruto ameingia Bomas akiwa na escort ya polisi na Walinzi lukuki
Dalili za mvua ni mawngu
Bado Kwaya mbalimbali zinaendelea kutumbuiza wageni waalikwa
Ila wageni waalikwa wote wapo ukumbimi wanasubiriwa Raila na Rutto kisha mwenyekiti wa IEBC na jopo lake wataingia
Mwenyekiti wa IEBC ameingia na ghafla vurugu zinazuka viti vinarushwa na watu wanakimbizana ovyo
Mama Mzazi wa Ruto anatolewa ukumbimi
Hatimaye hali ya usalama imerejea na Chabukati amerudishwa ukumbimi akiwa hana miwani
Askofu mkuu wa Anglican analiombea Taifa
Ni hatari