Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 General Election
Odinga mpaka sasa hana dalili za kuelekea Bomas kupokea matokeo
Amesema atachelewa kidogo anamalizia mekapu
IMG-20220815-WA0039.jpg
 
Tayari ukumbini Bomas ni vurugu tupu,hadi makamishina wengine wa tume wamejitenga na kutoa statement zao na vituo vya televisheni baadhi vimezima matangazo mubashara.

Hakuna cha kujifunza kwa Kenya kuhusu uchaguzi
 
Back
Top Bottom