Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 General Election
LIVE RESULTS
Last updated: 08/15/2022, 11:35:42 local time (GMT+3)
Provisional results from IEBC
CandidatesVote
William Ruto

William Ruto
50.7%
6,969,466
Raila Odinga

Raila Odinga
48.7%
6,692,629
roots.png
agano.png

Other Candidates
0.6%
92,312
Yule mandevu angetishia watu!!
 
Ukiona hivyo Ujuwe hiyo nchi haina Wapinzani ni kiini macho tu
mnawaua kwa risasi 36 ungelikuwa wewe ungelifanyaje. Jitu katili lenaoza huko msituni lilileta maumivu makubwa kwa upinzani. asante bwana mungu kulipigilia msumari kichwani
 
mnawaua kwa risasi 36 ungelikuwa wewe ungelifanyaje. Jitu katili lenaoza huko msituni lilileta maumivu makubwa kwa upinzani. asante bwana mungu kulipigilia msumari kichwani
Umewaona Wapinzani wa Kenya lakini?

Hawaogopi risasi 36
 
Umewaona Wapinzani wa Kenya lakini?

Hawaogopi risasi 36
hawaogopi wanajua kuwa hawawezi kupigwa risasi. hapa wapinzni walidhani ni kama Kenya, kumbe jitu la chato linaua kweli kweli! You have to retreat and re-organise!
 
Ukumbimi hali ni shwari na Ulinzi umeimarishwa zaidi.

Unafanyika usafi pale katikati palipokuwa panafanyika zoezi la uhakiki

Watu wote wametulia wakisubiri matokeo

Kenya ni moja

Tukio liko mubashara Citizen tv

Yanayojiri;
Wageni wanaendelea kuingiza ukumbimi na tayari Wagombea wawili wa Urais wameshaingia ukumbini Ruto na Raila bado hawajaingia

Ulinzi ni imara kweli kweli ndani ya ukumbi

Kambi ya Rutto inaonyesha furaha zaidi kuliko zile kambi nyingine mbili

Matokeo rasmi yatatangazwa saa 9.00

Ulinzi umeimarishwa mara dufu ndani na nje ya ukumbi

Wakati huu Kwaya mbalimbali zinaendelea kutumbuiza wageni waalikwa

Ruto ameingia Bomas akiwa na escort ya polisi na Walinzi lukuki

Dalili za mvua ni mawngu
Mubashara ukumbini kupokea taarifa rasmi ya matokeo ya urais🇰🇪
 
Back
Top Bottom