Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 General Election
Ruto kapata anakaribia 52
Kuna majimbo 37 matokeo hayakutangazwa japo uhakiki tayari. Bila shaka wamefanya hivyo ili watu waendelee kusubiri kwa hamu. Kwa majimbo yote yaliyotangazwa Ruto anaongoza kwa asilimia 51.45% akifuatiwa na Raila kwa asilimia 47.88%.

Hayo majimbo 37 yanaweza kupindua meza angalau uwezekano huo upo. Ngoja tusuburi tuone!
 
Kama Yanga juzi
 
yako ngome ya nani?
 
Back
Top Bottom