angalia Kenyan channels wanasubiri tamko. naona Ruto kama kashinda maana .......Ukumbimi hali ni shwari na Ulinzi umeimarishwa zaidi.
Unafanyika usafi pale katikati palipokuwa panafanyika zoezi la uhakiki
Watu wote wametulia wakisubiri matokeo
Kenya ni moja
Tukio liko mubashara Citizen tv