Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Kuna sehemu nyingine serikali kwa kushirikiana na wasafishaji wa abiria, wametengeneza uhaba wa vyombo vya usafiri, Matokeo yake watu wanajazwa kupita kiasi. Toyota premio inabeba watu 12!
Walichofanya ni kugawanya mbasi katika makundi labda mawili ili kila siku badala ya ya kuwepo magari 20 yawepo 10 tu. Halafu eti tuepuke msongamano! - usanii mwingine
Walichofanya ni kugawanya mbasi katika makundi labda mawili ili kila siku badala ya ya kuwepo magari 20 yawepo 10 tu. Halafu eti tuepuke msongamano! - usanii mwingine