kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake.
Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na N Card wakati mmoja na mashindano ya mapinduzi ambao viongozi wa Yanga wameyapuuza kwa kuwapunzisha wachezaji wake muhimu na kocha mkuu.