hakuna mchezaji aliyepumzishwa, wote walikuwa Zanzibar siku ya mechi... viongozi wa Yanga wameyapuuza kwa kuwapunzisha wachezaji wake muhimu na kocha mkuu.
Hata ile ajali ya waandishi wa habari nina mashaka nayo sana na namna tunavyotangaziwa chanzo chake, kwasababu mara ya mwisho ripoti ilikuja kudai kuwa ule mpira umeonekana pande hizo hizo tena kwa kasi ile ileHabari zilizonifikia hivi punde ni kuwa ule mpira uliopotea Zanzibar umepatikana ukiwa umeleta maafa na kusababisha kifo cha panya mbobezi wa kutegua mabomu...
Ukiwa mkristo maombi ni kila siku. Nakatika maombi lazima umlaani shetani. Sijui umenielewa utopolo wewe!?Mkilala Yanga,mkiamka Yanga ama kweli makolonkoncho ni shida
Jadili hoja utopolo halafu mleta hoja ni utopolo mwenzio.Mkilala Yanga,mkiamka Yanga ama kweli makolonkoncho ni shida
Waliletwa siku ya mechi na kuchezeahwa siku ya mechi, akili zao zilikuwa kwenye mapunziko kwao. Mchezaji sio robot kiasi hicho, kumchomoa ghafla kwenye mapunziko aliyopewa kihalali sio jambo jema.hakuna mchezaji aliyepumzishwa, wote walikuwa Zanzibar siku ya mechi
Nabi alikuwepo pia? Ndani ya Yanga wapo Simba.
Ni wachezaji gani muhimu waliopumzishwa ambao kama wangecheza basi matokeo yangekuwa tofauti?Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake.
Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na N Card wakati mmoja na mashindano ya mapinduzi ambao viongozi wa Yanga wameyapuuza kwa kuwapunzisha wachezaji wake muhimu na kocha mkuu.
kocha wa Yanga, anayejua vizuri ubora wa wachezaji wake kuliko mtu mwingine... na nani alimtoa Msheri langoni?
ππππ kweli uto ni Uneducated
mbona kama umeumia sanaMkilala Yanga,mkiamka Yanga ama kweli makolonkoncho ni shida