Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal tour ni kama zinaenda kuzimwa na uzembe wa watu wachache