Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal tour ni kama zinaenda kuzimwa na uzembe wa watu wachache
Acha urongo
Asali tamu endelea kulamba tuAcha urongo
Yani hiyo ni nguvu ya Buku7 tuAsali tamu endelea kulamba tu
Ohooooo !!!Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal tour ni kama zinaenda kuzimwa na uzembe wa watu wachache
Acha urongo
Katika vitu ambavyo hatupaswi kutamani basi kupigana vita na taifa linalojielewa. Tutapigwa mpaka tutafutane.Sio kipaumbele chetu
Kipaumbele chetu ni kutumia bilion 7 kufanya uzinduzi wa sensa!!
Tatizo la nchi hii toka alivyostaafu baba wa Taifa tunaongozwa na watu mazwazwa tu!!
Wenye akili waliamua kukaa pembeni na siasa za uongo za ccm;!!
Haya ndio Matunda yake kwa viongozi tulionao Kama ikitokea vita Kama ile ya Kagera miaka hii sijui Kama wanaweza kutuvusha!!
Tuna viongozi wajinga isitoshe kusema hivyo!!
Mnatuuwa na mitumba ya angani!MR BEN kama maji kupwa na kujaa
Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege ilopata AJALI, imekaaje hii??Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima.
Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga.
Juhudi za Royal tour ni kama zinaenda kuzimwa na uzembe wa watu wachache
Walipewa liftKuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege ilopata AJALI, imekaaje hii??
Ndege inapopaa au kutua, abiria hao 2 walizidi walikuwa wameshika wapi?Walipewa lift