Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

si kama nawatetea wahalifu,
lakin hii adhabu ni kinyume na haki za binadamu, eti mtu akiua nae auawe..asa vipi na yule aliyebaka?? nae abakwe au.. na nan atambaka na atambaka vipi kwa maana wote wanaume??
 
zombe hakutiwa hatiani kwani mawasiliano yake na christopher hayakuweza kupatikana. vodacom na Celtel huwa wanafuta kumbukumbu za simu ikipita miezi 6. hivyo walishafuta mawasiliano hayo. hamna sehemu iliyoweza kumtia Zombe hatiani
 
Zombe amechukua form ya kugombea ubunge huko Songea kupitia CCM.
 
Mbona nyie wote mna madoa? Halafu Ni aibu kubwa kila mchafu huja kujiunga nanyi!

Mnaficha na kutetea criminals

Comment yangu inaakisi msimamo wangu na wa chama chetu CCM. Sio kila aliyeko CCM ni mchafu kama unavyofikiri, naomba uombe radhi kwa kauli yako.
 
b2ce6dc403f131bf3da96317a978595b.jpg
Kwanini Bageni hajanyongwa mpaka leo ?
 
Back
Top Bottom