...hivi hii kesi ilikuwa bado haijafikia tamati?
Ndiyo mkuu!.....ilikuwa bado haijafikia tamati!...hivi hii kesi ilikuwa bado haijafikia tamati?
hi...habari...naweza kupata namba yako?yangu ni 0655895577Soma hukumu kamili utapata majibu ya swali lako. Naweza kukupatia nakala.
DuhhhhZombe amechukua form ya kugombea ubunge huko Songea kupitia CCM.
Mbona nyie wote mna madoa? Halafu Ni aibu kubwa kila mchafu huja kujiunga nanyi!Watu kama Zombe ndio wanaoharibu taswira ya chama chetu CCM mbele ya Jamii.
Mbona nyie wote mna madoa? Halafu Ni aibu kubwa kila mchafu huja kujiunga nanyi!
Mnaficha na kutetea criminals
Kwanini Bageni hajanyongwa mpaka leo ?
Oopshuyo zombe sina imani nae hata kidogo