Mkuu mangapi hatujakubali na yamefanyika? Bila mabadiliko ya utawala maamuzi ya kijinga yataendelea kufanywa na tutaendelea kulalama tuu. Lazima tudhamirie kwa dhati kufanyika mabadiliko ili haya yasitokee.Hatutakubali kufanyika kwa malipo hayo. Tutaandamana watanzania wanajua aliyokuwa anayafanya Zombe na genge lake. Tunasubiri maamuzi ya mahakama. Hatutakubali ngo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Zile damu za wale vijana aliowachinja zitamtesa sana huyu mvuta bangi wa kinyalukolo.
Ni mfipa sio mnyalukolo!!!
mbona unazungumza kama vile tayar zombe kalipwa au mahakama imesema alipwe..acha kua bingwa wa kulalamikaWatanzania tutaendelea kulipa fidia hizi zinazotokana nauzembe wa watendaji na viongozi wa serikali mpaka lini? ukichukua hili suala la Zombe, huyu bwana alipona mkono wa sheria kutokana na sababu za kiufundi; hivi sasa serikali italazimika kumlipa mabilioni ya fedha za walipa kodi. Zipo fidia nyingi zinazulipwa kwa makondrasi wa barabara kwa uzembe kama huo. Leo serikali inadaiwa fidia nyingi zinazotokana na mikataba mibovu. La kushangaza ni kwamba wakati watanzania masikini wanalazimika kukosa matibabu na elimu kutokana na matumizi hayo mabaya ya raslimali ya taifa, wale wanaosababisha hasara hiyo wanaendelea kupeta.
Suala la madai ya fidia kwa Zombe haliwezekani sasa hivi de facto (as a matter of fact) wala de jure (as a matter of law) na kama ameanza taratibu hizo sasa basi mibangi anayovuta imekikoroga vibaya kichwa chake! Suala la kuachiwa huru kwake na wenzake liko kwenye hatua ya rufani Mahakama ya Rufani ya Tanzania ambayo haijaisikiliza rufani hiyo na haijatoa uamuzi. Sasa yeye anaomba fidia ya nini? Anajuaje kama Mahakama ya Rufani haitamtia hatiani kwa kushiriki mauaji ya wauza madini wa Mahenge Morogoro ambayo in fact he played a central role in commission of the same to the extent of fabricating evidence as to where the deceased were killed!
abdallah zombe amerudi tena.mara hii adai serka fidia ya bil5 na mil200 kama fidia ya ile kesi ya kuua wafanya biashara.
abdallah zombe amerudi tena.mara hii adai serka fidia ya bil5 na mil200 kama fidia ya ile kesi ya kuua wafanya biashara.
Kama ana haki alipwe. Pia serikali nayo iwadai wale wote waliokopeshwa na serikali mfano wanafunzi wote waliokwisha maliza chuo na walipewa mikopo na bodi.