Elections 2010 Zomea zomea hii ya wagombea wa CCM inaashiria nini?

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
3,727
Reaction score
2,217
Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini wamepata wakati mgumu baada ya kuzomewa wakiwa kwenye mikutano yao ya kampeni. Tena wengine huzomewa mbele ya JK. Hii inaashiria nini?
Kuzomea mbele ya JK labda ni kum-alert JK kwamba CCM na yeye mwenyewe hawakubaliki tena na pia wananchi wako tayari kufanya mabadiliko.
Tuandae list ya wanaozomewa wakishinda tujue uchakachuaji umefanyika kwa kuwa mtu hawezi kuzomewa kama anakubalika.
 
Kigwangwala nae akataliwa mbele ya JK
 
Mimi namkataa JK mwenyewe
Hata Salma nae hamkubali jk na ndo maana hawako bega kwa bega kwenye kampeni,kila mtu yupo kivyake na hawezi kumpigia kura sababu wenzake hawashughuliki na wamemwacha peke yake,wakati akipata watatumia wote!!!
 
Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini wamepata wakati mgumu baada ya kuzomewa wakiwa kwenye mikutano yao ya kampeni. Tena wengine huzomewa mbele ya JK. Hii inaashiria nini?
Kuzomea mbele ya JK labda ni kum-alert JK kwamba CCM na yeye mwenyewe hawakubaliki tena na pia wananchi wako tayari kufanya mabadiliko.
Tuandae list ya wanaozomewa wakishinda tujue uchakachuaji umefanyika kwa kuwa mtu hawezi kuzomewa kama anakubalika.
........kwenye red,ni Luhahula..!
 
Hata Salma nae hamkubali jk na ndo maana hawako bega kwa bega kwenye kampeni,kila mtu yupo kivyake na hawezi kumpigia kura sababu wenzake hawashughuliki na wamemwacha peke yake,wakati akipata watatumia wote!!!

nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom