kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,217
Baada ya Lukas Siame (Mbozi- Magharibi), Emanuel Vuhahula wa Bukombe na sasa James Lembeli wa Kahama (Kutaja ambao taarifa zao zimeripotiwa - labda wapo wengi) na Aeshi Ally wa Sumbawanga mjini wamepata wakati mgumu baada ya kuzomewa wakiwa kwenye mikutano yao ya kampeni. Tena wengine huzomewa mbele ya JK. Hii inaashiria nini?
Kuzomea mbele ya JK labda ni kum-alert JK kwamba CCM na yeye mwenyewe hawakubaliki tena na pia wananchi wako tayari kufanya mabadiliko.
Tuandae list ya wanaozomewa wakishinda tujue uchakachuaji umefanyika kwa kuwa mtu hawezi kuzomewa kama anakubalika.