Elections 2010 Zomea Zomea Yaanza, Kikwete ana tabu

Elections 2010 Zomea Zomea Yaanza, Kikwete ana tabu

Status
Not open for further replies.
Inatia moyo...zile t-shirt na mabango yenye ujumbe mahsusi yataleta mwamko kwenye siasa za tz. Umefika wakati, viongozi wajue ukweli.. jembe ni jembe. Walishazoae kusifiwa hata kama kazi zao ni chafu mtupu...JK atabaki kuuza sura tu, kama kiongozi wa juu angefahamu kuwa kumhusisha mtoto wake kwenye siasa hivi sasa ni kuhujumu nchi, kukosa maadili na uroho wa madaraka. Kama yeye haoni hilo, tutegemee nini kina Makamba.. Shame on you!!
 
sikiliza mwafrika kamwe sitaacha kuhoji hoja zisizokuwa mashiko na wala SITAOGOPA KUITWA JINA LOLOTE LILE....Maadamu ninaijua dhamira yangu..kwa sababu huwezi kukurupuka na jambo lisilo na kichwa wala mguu hebu angalia post yako na maelezo hayawiani.....argue kisomi ...onyesha uhusiano kati ya picha na post...usikimbilie kuita watu watetezi wa mafisadi..jibu hoja .
mix with yours

Bwa ha haha ha
 
Inatia moyo...zile t-shirt na mabango yenye ujumbe mahsusi yataleta mwamko kwenye siasa za tz. Umefika wakati, viongozi wajue ukweli.. jembe ni jembe. Walishazoae kusifiwa hata kama kazi zao ni chafu mtupu...JK atabaki kuuza sura tu, kama kiongozi wa juu angefahamu kuwa kumhusisha mtoto wake kwenye siasa hivi sasa ni kuhujumu nchi, kukosa maadili na uroho wa madaraka. Kama yeye haoni hilo, tutegemee nini kina Makamba.. Shame on you!!

watu siku hizi wameelimika mana mabango yale madogo yanachanwa maana huu ni kuujumu uchumi
 
Siku ya Alhamisi nilipita Kibondo, mkoni Kigoma na nikakuta wana ccm wanamsubiri jk, lakini sikuamini macho yangu niliposoma bango kubwa sana limeandikwa "JK ulipokuja uliahidi barabara kwa kiwango cha lami kutoka Kigoma mpka Nyakanazi, leo utatuambia nini?" Watu wanasema safari hii HATUDANGANYIKI.
 
Wakuu, mida hii hii nimekutana na mbatia na msafara wake eti anatoka kurudisha form - vibajaji na bodaboda kibao kutujazia foleni. hivi anategemea kweli anaweza kuwa rais wa nchi hii au anataka aingie kwenye vitabu vya kumbukumbu? - nafikiri wanasiasa wengi hawakusoma probabilty na permutation.

Kaka, Mbatia HAGOMBEI urais! Anagombea Ubunge, jimbo la Kawe. Afadhali angegombea Kinondoni anakohitajika zaidi, kwani Kawe anapambana na Halima Mdee. Watagawana kura, kisha hazitatosha, atapita Angela Kizigha wa CCM! Wapinzani pia hukosea step!
 
Na bado mwaka huu msanii Kikwete ana kazi, ninamsubiri kwa hamu huku kwetu japo ni mbali naamini atafika.
 
"The main thing is to keep the main thing the main thing" acha wachapane makombora in the end,the winner takes it all
 
"COUNT DOWN TIMER" Inanijulisha kuwa kwa sasa Chama Cha Mafisadi kinapumulia mipira.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom