Nukuu ya leoMimi ni mwanachama wa CCM ambaye naiombea ife ili nchi ibaki salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nukuu ya leoMimi ni mwanachama wa CCM ambaye naiombea ife ili nchi ibaki salama
sikiliza mwafrika kamwe sitaacha kuhoji hoja zisizokuwa mashiko na wala SITAOGOPA KUITWA JINA LOLOTE LILE....Maadamu ninaijua dhamira yangu..kwa sababu huwezi kukurupuka na jambo lisilo na kichwa wala mguu hebu angalia post yako na maelezo hayawiani.....argue kisomi ...onyesha uhusiano kati ya picha na post...usikimbilie kuita watu watetezi wa mafisadi..jibu hoja .
mix with yours
:sleepy:samahani hivi jazba ni nini vile????UKITAFAKARI DAKIKA 3 TU NA KUPUNGUZA JAZBA UTAONA HOJA
mix with yours
Inatia moyo...zile t-shirt na mabango yenye ujumbe mahsusi yataleta mwamko kwenye siasa za tz. Umefika wakati, viongozi wajue ukweli.. jembe ni jembe. Walishazoae kusifiwa hata kama kazi zao ni chafu mtupu...JK atabaki kuuza sura tu, kama kiongozi wa juu angefahamu kuwa kumhusisha mtoto wake kwenye siasa hivi sasa ni kuhujumu nchi, kukosa maadili na uroho wa madaraka. Kama yeye haoni hilo, tutegemee nini kina Makamba.. Shame on you!!
Wapi hii mkuu!!
Mbona kama haiko real?
Wakuu, mida hii hii nimekutana na mbatia na msafara wake eti anatoka kurudisha form - vibajaji na bodaboda kibao kutujazia foleni. hivi anategemea kweli anaweza kuwa rais wa nchi hii au anataka aingie kwenye vitabu vya kumbukumbu? - nafikiri wanasiasa wengi hawakusoma probabilty na permutation.