NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Mchawi halisi huwa hana muda na mitandao ya jamii...ukiona mtu anaingia humu na kujifanya fundi ujue unapigwaNilijua kuwa uko na utani sana ngoja nianze kukusanya paka niwakojoleshe , kuku bubu sio shida ninaye hapa nyumbani
Ni jogoo ila sijawahi kumuona anawika
da!!! noma sana~~~Siku zote uchawi hauwaminiki uwepo wake au nguvu yake ispokuwa kwa wale waliodhurika nao.
Mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana.
Zongo inaweza kupigwa kwa mtoto mchanga, mama mjamzito, n.k Zongo huwa ni Husda ya mchawi kwa kile unachokifanya au unacho jifagharisha nacho. Zongo inaweza kupigwa pia kwenye vyombo vya usafiri, kama umeshawahi kusikia gari hili limerogwa au kila wakati lina haribika na kutengenezwa, au kama umewahi kusikia boti hili linaharibika kila likipakia abiria au injini yake kufeli kila likipata mzigo wa kusafirisha.
Kujikomboa:
Dumu katika ibada, na pia Choma chumvi ya mawe nyumbani kwako na katika vyumba pia, huondoa sana nuksi katika nyumba, vyumba na sehemu ya bishara na katika vyombo vya usafiri.
Huu ni wa kujifunza tu hakuna namnaTuendelee kupambana ipo siku tutaujua vizuri na tuwe na uwezo wa kuutetea kama sayansi ya mtanzania .
Acha ushamba ww ukiumwa unakula Dawa sasa nani anakuponesha yesu au Dawa Mjomba utakufa mapema wewe,mungu hakusaidii ikiwa huoneshi juhudi ya kutaka kusaidiwaDah kweli kwa Yesu ni raha. Yaani nje huku kuna mahangaiko kweli kweli. Kuchoma chumvi tena?
Ndugu rudi kwa Mungu wako, Yesu ndio njia. Hautakuwa na haja ya kuchoma chumvi na mambo kama hayo.
Ukibarikiwa na Yesu hakuna wa kukulaani, awe shetani au vinyangara vyake.
Hakuna nuksi kwa mwana wa Mungu. Tafuta amani na Mungu wako na hutakuwa na haja ya kutahayari!
Handeni moja hiyo, Sumbawanga ni RADIWapiga zongo hawana aibu wala utu
Hasa mikoa ya pwani wanapenda sana kupiga zongo watoto wadogo
kweli!! mdo manake YESU alisema,"omba nawe utapewa,piga hodi nawe utafunguliwa,tafuta nawe utapata,"......mjomba umenikumbusha wale wasabato miaka ya tisini waliweka kambi air-port wakimsubiriri YESU alete ndege iliwa safiri wamfuate,,,walikaa hapo mpaka wakajaza vinyesi kwenye mapagala ya wa2...inzi wakazidi mitaani ikabdi serikali ikawafukuza!!Acha ushamba ww ukiumwa unakula Dawa sasa nani anakuponesha yesu au Dawa Mjomba utakufa mapema wewe,mungu hakusaidii ikiwa huoneshi juhudi ya kutaka kusaidiwa