Iphone zote mpya zina Telephoto.watu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa
Telephoto ndio nn chief nifafanulieIphone zote mpya zina Telephoto.
Nunua samsung mkuuView attachment 2371862View attachment 2371864Habari.
Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
Habari.
Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
Simu siku hizi zinakuja na camera nyingi nyingi, kila camera inakuwa na kazi yake, moja wapo ya camera/lens wanazoweka ni hio telephoto.Telephoto ndio nn chief nifafanulie
basi watakuwa wamesanuka hivi karibuni,Iphone zote mpya zina Telephoto.
Inategemea mkuu Camera ni pana sana, mfano haya mambo ya Kuzoom Samsung yupo vizuri sana kwa mda mrefu.basi watakuwa wamesanuka hivi karibuni,
lakini kiujumla kwenye swala la camera huawei amekuwa akifanya vizuri kuliko wote
iyo kazi nilikuwa naifanya kwenye Huawei P10 na haikuwa na telephoto na zoom yake ilikuwa ni umeme, Huawei ana camera kali ila hazungumzwi kabisa.Simu yoyote yenye camera ya telephoto inafanya hivyo, wakati kipindi hicho watu wakiongea mlikuwa mnahoji kuna kitu gani Samsung inafanya Tecno/infinix haifanyi? Sasa hivi kina infinix wanajitutumia inaonekana ni kufuru?
Samsung nyingi toka 2013/2014 zina telephoto x10
Ipo review ya Zoom ya P10 hapaiyo kazi nilikuwa naifanya kwenye Huawei P10 na haikuwa na telephoto na zoom yake ilikuwa ni umeme, Huawei ana camera kali ila hazungumzwi kabisa.
kwani hiyo infinix bei yake ipoje mkuuSamsung yenye unyama kama huo bei yake ni ghali sana sitaweza wacha niishi humu
🤣🤣🤣natumia iphone lakin android kiboko nazikubaliwatu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa