Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

Basi kama Ni kweli umetumia Infinix kupiga hiyo picha,nimewakubali sana.
 
Hivi mnazijua google pixel kwa picha
yaani picha ya simu ya google pixel ya 300k unapata kwenye i phone x
 
Bei gani mkuu
Xiaomi Redmi Note 11 Pro
Version: 8GB RAM 128GB ROM
Bei: TSh 669,000/=
Duka: Simu hub
Location: China Plaza, 2nd floor
Hili ndio duka la Xiaomi ninalolijua, wana account yao Instagram na wanajiita hivyohivyo Simu hub tz
 
Nadhani Redmi note 10 pro ni bora zaidi kuliko Redmi note 11 pro
Sio tu unadhani, huo ndio ukweli. Redmi Note 10 Pro ni simu nzuri zaidi ya Note 11 Pro, ndio maana Redmi Note 11 Pro inapatikana kwa bei rahisi kuliko Note 10 Pro.
Kwenye hilo duka, Redmi Note 10 Pro yenye 8GB RAM 128GB ROM inauzwa kwa TSh 710,000/=
 
Soon nataka nihamie humu kwa Xiaomi simu ya 600k inayo anzia na 8GB of Ram storage yoyote ni ipi nitapata
 
Ukinunua AliExpress unapata Redmi Note 10 Pro yenye 8GB RAM 128GB ROM kwa laki 5 kamili.
Ukinunua Bongo kwa 600K unapata yenye 6GB RAM 128GB ambayo ni Xiaomi Redmi Note 10 Pro.
Unaweza kupata Redmi Note 11 yenye 6GB RAM 128GB kwa 520,000/=
Pia unaweza kupata Redmi Note 10S ila hii simu usiiweke akilini sana kwa sababu ya shida zake za overheating na video oversharpening kwenye display yake. Badala yake unaweza kununua Redmi Note 10, ambayo haina kitu chochote mbele, ni nzuri zaidi.

NB: Nunua Global version au Chinese version, Usinunue Indian version.
 
NI KWELI, ZA INDIA NI KIMEO. NILINUNUA MOJA NIKIWA NEW DAILY MITAA YA ARAKASHAN KARIBU NA STATION KUU YA TRAIN, MWAKA 1 TU IKAFA.
 
Back
Top Bottom