Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Mar 19, 2023 #41 torvic said: watu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa Click to expand... Haha kama mtu ambae nimetumia simu zote iphone wasnt built kwa camera za mbali hivyo. So atakaebisha hata mm nitamshangaa pia
torvic said: watu wa masifa na iphone zao hawawezi kukuelewa Click to expand... Haha kama mtu ambae nimetumia simu zote iphone wasnt built kwa camera za mbali hivyo. So atakaebisha hata mm nitamshangaa pia
Reuben Challe JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 2,940 Reaction score 5,511 Mar 19, 2023 #42 Skid Row Boy said: NB: Nunua Global version au Chinese version, Usinunue Indian version. NI KWELI, ZA INDIA NI KIMEO. NILINUNUA MOJA NIKIWA NEW DAILY MITAA YA ARAKASHAN KARIBU NA STATION KUU YA TRAIN, MWAKA 1 TU IKAFA. Click to expand... Ni kweli Indian version ni za ovyo sana. Ndio maana sikuhizi hata Wahindi wananunua Global version kutoka AliExpress badala ya kununua Indian version nchini mwao.
Skid Row Boy said: NB: Nunua Global version au Chinese version, Usinunue Indian version. NI KWELI, ZA INDIA NI KIMEO. NILINUNUA MOJA NIKIWA NEW DAILY MITAA YA ARAKASHAN KARIBU NA STATION KUU YA TRAIN, MWAKA 1 TU IKAFA. Click to expand... Ni kweli Indian version ni za ovyo sana. Ndio maana sikuhizi hata Wahindi wananunua Global version kutoka AliExpress badala ya kununua Indian version nchini mwao.