TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Nimekoswakoswa mwezi huu hadi nimeapa sipandi tena boda... labda kuwe na sababu isiyozuilika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
...Hivi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Chena, Uholanzi, Dubai na Kwingine Kwa hivyo Kuna Boda Boda ? Mbona India Zimejaa ?...Tatizo ni Maendelea ??....
Kuna pikipiki hakuna bodaboda, tena China ndio inaongoza kwa hizi scooter ni usafiri muhimu lakini huwezi kusikia ajari.

South Africa pia pikipiki zipo lakini hakuna biashara ya bodaboda, pikipiki zinatumika kwa delivery kama vile DHL.
 
R.I.P. Kijana

Nani aliamua kwamba amekufa na polisi ndio wamchukue? Kwa khali yoyote si ilibidi apeleke hospitali kwanza au?

Hii issue natumaini Serikali utaangalia na kuelezea iweje, bila Daktari nani mwingine anapaswa kufanya kazi yao?
Mara nyingi polisi ndio huwa wanachukua miili kupeleka hospitali.
 
Polisi aisee! Eti mwenye taarifa tofauti apeleke kwa viongozi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sidhani kama kuna atakaethubutu..
 
Polisi wetu ukitaka wawahi sehemu waambie kuna mtu anamtukana mwanasiasa wa ccm. Wanaweza kuja hata na magari 10 kumkatamata mropokaji mmoja.

Kwenye issue za msingi tuwasamehe
 
Huyo boda aliepelekwa hosp walifata huo utaratibu? Swali lang, km ajali wamepat pamoja inakuaje mmoja apelekwe hosp na mwingine asipelekwe?
 
Huyo boda aliepelekwa hosp walifata huo utaratibu? Swali lang, km ajali wamepat pamoja inakuaje mmoja apelekwe hosp na mwingine asipelekwe?
Unajua Nani mwenye mamlaka ya kuondoa maiti kwenye Eneo la tukio??


Ikijua hilo nadhani discussion itakua easy
 
Hili swala mm nasema hao watu pia waliokuwa hapo wajinga, ww binadam mwenzio unaona anahangaika hapo chini eti polisi mpaka aje kwani kusimamisha bajaji mkampeleka ama gari ikampeleka polisi ilishinidikana πŸ˜‡πŸ˜‡.Mm ningekuwepo hapo ni bora nibaki sina hata mia lakini huyo jamaa afike sehemu salama mm silaumu polisi nalaumu hao waliofika hapo mapema.
 
Amefariki kifo cha kusikitisha sana japo vifo vyote vinasikitisha, ila masaa 6 mtu mnamuangalia tu hii ni mbaya zaidi, kweli siku ikifika imefika.
 
Poleni Kwa msiba huu wa Zuchi.

Kamanda akiwa katika majukumu ya kazi kapata ajali, kafariki kaacha watoto wawili, vipi kuhusu mirathi na stahiki nyingine za marehemu?

NB: Waajiri walazimishwe kuwakatia bima ya maisha wafanyakazi wao. Ona Sasa familia inaenda kuonja maisha magumu bila kutarajia.
 
Alishaacha kazi kwa millard siku nyingi na alikua kwenye biashara ya vipodozi.
 
Alikuwa katika majukumu ya kazi ila ni kazi yake binafsi. Mauti yamemkuta akiwa sio muajiriwa bali mjasiliamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…