Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.

Your browser is not able to display this video.
 
Mchukue wewe uwe meneja wake tuone.
Harmonize yule dogo ni mpumbavu na ana ushamba wa pesa, na hatofika popote.

Kazi kuchukua wanawake mishangazi wenye makalio.

Ukiangalia mwenendo wake unaona kabisa bado sana kukabiliana na kina Platinumz.

Mara madeni bank, utasikia kakimbia nyumba hajalipa kodi na vituko vya ajabu.

Kazi kuvuta bangi studio na kukohoa...
Amemuharibia huyo dada muelekeo...
 
Duh
 
Unataka kusema Anjella alikuwa Safi kimziki kabla ya kuchukuliwa Konde gang?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…