Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

Mkuu una hoja ila mwisho wa siku zawadi haipangwi....unajuaje labda walishwahi kuongea private akasema labda anawishi apate gari aina ya crown
Yah Hilo linawezekana sana na unajua kwa baadhi ya wasiojua magari (sio kosa kibinadam) huwa wanaangalia uzuri wa gari na namna ataingia na kutoka ndani ya gari akiwa kavaa vizuri ila matunzo ya gari ni mtihani sana ndio maana ukienda miji mikubwa Ulaya kama London Amsterdam na Frankfurt watu wanatumia train maana gas na matengenezo yanaweza kula kipato chote
Anyway wish them all the best kushikana mkono ni vizuri
 
Ndio wabongo tulivyo,namiliki gari hizi kitu ni pasua kichwa sana basi ampe ka IST afanye bolt au farasi
Mafuta mbona hizo crown zinatumia kawaida sana.
Watz mmekariri mafuta, mafuta, mafuta, gari inayokwenda 10km/L mnasema inakula mafuta, sasa ukimiliki jeep zenye engine ya srt inakwenda 4 km / L si ndipo utachanganyikiwa.

Kiukweli gari yenye engine ndogo ni ishara ya umasikini.
 
Yah Hilo linawezekana sana na unajua kwa baadhi ya wasiojua magari (sio kosa kibinadam) huwa wanaangalia uzuri wa gari na namna ataingia na kutoka ndani ya gari akiwa kavaa vizuri ila matunzo ya gari ni mtihani sana ndio maana ukienda miji mikubwa Ulaya kama London Amsterdam na Frankfurt watu wanatumia train maana gas na matengenezo yanaweza kula kipato chote
Anyway wish them all the best kushikana mkono ni vizuri
Ukweli ni kwamba kama hana kipato cha uhakika hilo gari litamtia aibu maana atalipark au kuliuza kabisa.
 
Mafuta mbona hizo crown zinatumia kawaida sana.
Watz mmekariri mafuta, mafuta, mafuta, gari inayokwenda 10km/L mnasema inakula mafuta, sasa ukimiliki jeep zenye engine ya srt inakwenda 4 km / L si ndipo utachanganyikiwa.

Kiukweli gari yenye engine ndogo ni ishara ya umasikini.
Ndio hivyo maana angekuwa sio maskini angenunua yake tena kimya kimya kama wale kinadada pale B.O.T ila hadi ananunuliwa basi mafuta oil na marekebisho mengine lazima iwe concern
 
Kwani ulimfahamu au kumuona akiwika kimuziki kabla ya kwenda Konde gang??
Kwani konde gang walimkuta mtaani anauza mahindi?
Waliona ana kipaji kuzidi wengi tu, hivyo nyota njema huonekana asubuhi.

Kwanini konde gang waliacha wengine wakamchukua yeye?

Kusajiliwa na label ya muziki sio wataanza kukifundisha from scratch, lazima waone kuna kitu kwanza.

Kwa swali lako, ndio alikuwa na kitu tena si kidogo.
 
Kama alikuwa Bora Sana kabla ya kuchukuliwa Konde gang,,tunampongeza mnoo Kwa hilo,,na tunaomba aendelee kuwa bora zaidi hata baada ya kutoka Konde gang
 
Ndio hivyo maana angekuwa sio maskini angenunua yake tena kimya kimya kama wale kinadada pale B.O.T ila hadi ananunuliwa basi mafuta oil na marekebisho mengine lazima iwe concern
Sio kashindwa kununua, huwezi jua alikuwa kwenye savings anunue gari.

Haya maisha ni vipaumbele kuna wasio na gari wana nyumba kuna waliopanga wana magari nyumba hawana.
 
Kama alikuwa Bora Sana kabla ya kuchukuliwa Konde gang,,tunampongeza mnoo Kwa hilo,,na tunaomba aendelee kuwa bora zaidi hata baada ya kutoka Konde gang
Kwani wasanii wote wanaofanya vizuri wapo konde gang?

Kwanza bora ametoka, atayumba kwa muda lakini atajipata tu.
 
Jombaa mbona naona kama Mmakonde kafanya kwa uwezo wake, kama unasema anakipaji tulitegemea aendelee kushaini maana wadau wapo wengi wakumsapoti.
Kwaiyo mmakonde kamuharibia kivipi huyo dada?
 
Back
Top Bottom