Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

Harmonize yule dogo ni mpumbavu na ana ushamba wa pesa, na hatofika popote.

Kazi kuchukua wanawake mishangazi wenye makalio.

Ukiangalia mwenendo wake unaona kabisa bado sana kukabiliana na kina Platinumz.

Mara madeni bank, utasikia kakimbia nyumba hajalipa kodi na vituko vya ajabu.

Kazi kuvuta bangi studio na kukohoa...
Amemuharibia huyo dada muelekeo...
Kwa hiyo kabla ya kuchukuliwa na harmonize alikuwa ana mwelekeo wa maisha, hata akina zuchu na vituo vya habari vilikuwa vinamfahamu au sio?
 
Kwani konde gang walimkuta mtaani anauza mahindi?
Waliona ana kipaji kuzidi wengi tu, hivyo nyota njema huonekana asubuhi.

Kwanini konde gang waliacha wengine wakamchukua yeye?

Kusajiliwa na label ya muziki sio wataanza kukifundisha from scratch, lazima waone kuna kitu kwanza.

Kwa swali lako, ndio alikuwa na kitu tena si kidogo.
Kuwa na kipaji ni jambo moja, kujulikana ni jambo jingine. Kuna watu kibao mtaani wana vipaji lakini wamekosa mtu wa kuwashika mkono.

Bila mvuta bangi huyo anjela asingefika hapo alipo hata kama amemfanyia jambo gani.
 
Zuchu afanye tu mpango wa kuwa solo artist ili awe milionea
 
Back
Top Bottom