Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

Kwa hiyo kabla ya kuchukuliwa na harmonize alikuwa ana mwelekeo wa maisha, hata akina zuchu na vituo vya habari vilikuwa vinamfahamu au sio?
 
Kuwa na kipaji ni jambo moja, kujulikana ni jambo jingine. Kuna watu kibao mtaani wana vipaji lakini wamekosa mtu wa kuwashika mkono.

Bila mvuta bangi huyo anjela asingefika hapo alipo hata kama amemfanyia jambo gani.
 
Zuchu afanye tu mpango wa kuwa solo artist ili awe milionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…