Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

Unajua huwa kuna gold-plated Bars na Pure gold bar. Haya makitu huwa yanatofautiana thamani.

Huyu binti nimeshaona watu wengi wanalalamikia sana kutoka kwake.

Mwanzo nilihisi kuwa ni chuki tu za haters ila as it goes naanza hata mimi kunotice kuwa she is being overrated na anakuwa anabebwa na promo za kimtandao bila kuproove uwezo kwa utunzi na kuimba kazi nyingi.
 

Zuchu anaweza kufika mbali hilo lipo wazi maana huwezi kusema hana talent kabisaaa, itakuwa ni uongo

ila kikubwa wanaombrand wapo vizuri maana wamemjengea picha ya kumuonesha kama binti anaejielewa na humble sana na hivyo kuwa rahisi kupendwa na watu.

Pia wamemuweka karibu na lady jay dee na si kwa bahati mbaya ili aonekane the NEXT queen, kuwa WCB na mtoto wa Khadija ni advantage kubwaa sana pia..

Nakubali jitihada zao na kila kitu ila tu kutaka kumuweka zuchu kwenye Level kubwa mnoo utakuwa ni uongo kwa sasa.

She is not there yet, bado hajafikia hata kiwango cha Vanessa alipokuwa new artist. Yupo basic na hata ikitokea mbeleni akafanikiwa haitokuwa kitu kipya kama Gigy alivyotoa hit song ya papa
 
Mambo yangekuwa hivyo, Mind angekuwa kachuja zamani tu.
Mada ni zuchu sio mondi
Kwani mondi alichukua mda gani kupata nomination kwenye awards na kuchukua kabisa?
 
Mkuu vanesa umeenda mbali sana ungeanza na nandi au ruby Vanessa was international artist
 
Papa ilikuwa hit song..... So twaweza sema gigy ni msanii mkubwa.
 
Kuna kijana anaitwa fireboy dml je nayeye atachuja?
Mnatoka nje ya mada tatizo tuongelee suala la zuchu na mazingira ya wasanii wetu wa Tanzania achana na wa Nigeria hao soko lao tofauti na letu kwenye music
 
Mnatoka nje ya mada tatizo tuongelee suala la zuchu na mazingira ya wasanii wetu wa Tanzania achana na wa Nigeria hao soko lao tofauti na letu kwenye music
We umeongelea kukua kwa Kasi kwa muda mfupi ndio maana nikakuuliza
 
Papa ilikuwa hit song..... So twaweza sema gigy ni msanii mkubwa.
hivyoo kama gigy aliweza fanikiwa kutengeneza hit song ndio iwe kazi kwa mtu kama Zuchu kufanikiwa katika hii industry

Kama Diamond aliweza mtoa mtu kama Harmo ambaye ni less talented kuliko Zuchu.. kutakuwa na ugumu gani kwake kumpush huyu manzi
 
Hivi wimbo mkali wa zuchu ni upi?
Sio lazima wote tumpende bro, kama wewe hujauona wimbo wake mkali basi sawa ila nyimbo zake zimekuwa streamed mara millioni 4 boomplay akiwaacha mbali wasanii wengi wakongwe kama Alikiba, mimi mara,mario,n.k

Na apple music wanamjua

Hawa afrimma wamekosea wapi??? mlitaka wamuweka nani???

Sio lazima wote tumpende ila umati ndio utakao amua na umati wenyewe ndio huo kwenye social media.
Kutoka boomplay, YouTube,apple music na platforms nyingine inaonesha kwamba yeye ni miongoni mwa wasanii wanaotazamwa sana Afrika mashariki.
 
mkuu japo uzi wako ulimkusudia zuchu bt kwa chini ungemalizia kuwamention wasanii wengine wanaowania tuzo hizo
 
mkuu japo uzi wako ulimkusudia zuchu bt kwa chini ungemalizia kuwamention wasanii wengine wanaowania tuzo hizo
 
Mi sio msanii siwezi kuzipitia mwisho wanaishia pabaya hao 6 month msanii kashakuwa female artist

Iko hivyo msanii akihit kiujanja ujanja anguko lake linakuwaga baya sana, huyu ilibidi kazi zake ndo zimfikishe hapo na si vinginevyo
 
Binti hana hata miezi sita.. kaanza kuwekwa matuzo ya africa.. huku kina ruby wana miaka na miaka hawawekwi... binti mitandaoni ma subscriber na ma followers kibao wakati katoka juzi juzi tu
Kila kitu ni kazi ya wasafi kawatolea wapi hao followers?
Mbona kabla ya wasafi hatukumskia kwengine ama alikuwa hajaanza muziki?

Acha kumfananisha na ruby
 
Hizi tuzo za wale manaija conmens.
Ndo nazo tuzo ?
Hata nedy music anayo hii tuzo uyo zocho ndo mnaona ajabu kuwa nominated?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…