Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

Tz tungekuwa na sisi na Tuzo zetu matuzo hayo wanachagua wa kushinda hawafatili kura ni wanaija wana roho mbaya
 
Tunzo ni sehemu ya mkakati wa kibiashara, na wanaomsimamia wako makini kwa hilo.

Kwa hapa ndani inaweza isiwe na nguvu lakini kwa nje ni sifa kubwa. Itaanza kumlipa kwa endorsements atakazopata, na connection za kikazi nyingi zaidi.
 
Tunzo ni sehemu ya mkakati wa kibiashara, na wanaomsimamia wako makini kwa hilo.

Kwa hapa ndani inaweza isiwe na nguvu lakini kwa nje ni sifa kubwa. Itaanza kumlipa kwa endorsements atakazopata, na connection za kikazi nyingi zaidi.
Wale ni waongo tunzo wanachagua mshindi mwaka jana Diamond alikuwa kwenye category sijui nne ila zote akakosa na wakati ndo alikuwa banging na Inama
 
Kwani kunamsanii mkubwa ambae hakiki...?
 
Mbona harmonize ndo anaongoza kwa kukiki Instagram na hajawekwa category nyingi...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye maisha kila kitu kina stage na hatua sasa Kama ana kasi hivi akifika mwaka si kashachuja tayari
Na hasipo chuja...? Unakumbuka harmonize/rayvanny kipindi wanatoka(harmonize AFRIMMA& rayvanny BET),je wamepotea...? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka kuproveje...? Wakati chatz, stream kazikamata
 
Kwa hapa tumeenda sawa hao wamekosa management
Lakini je unapinga kwamba zuchu ana kipaji kuliko ruby?
Management yenye ndo itapush mziki wako na kipaji chako kidogo
Na je, Mandy anakipaji kuliko Ruby...? Jibu ni hapana that's why nandy ni hot kuliko Ruby unajua why...?, Basi tulia ZUCHU akiwashe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…