Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

Kwahiyo ikiisha hiyo ramadhan anarudi tena kutukana😂😂😂🤣🤣 abaki huko huko coz tu aimbe kaswida tu, waislam hawanaga din bali wanafata sheria tu 😂😂😂 akae huko huko na asirudi tena na hata diamond
 
Mimi sio mkamilifu ila sipendi kufanya unafiki kwa Mungu.Ukiamua ufanye ya Mungu achana na maujinga mengine.
Kama sio mkamilifu unapata wapi ujasiri wa kunyooshea wengine kidole? Zuchu na Mungu ndio wanajua anachofanya ni sahihi au si sahihi sio wewe papai
 
Amefanya vzr Ni vzr hata kufunga kwa njia hyo Ni Jambo jema nimemuelewa kwa Hilo Kiki na trending hazima nafsi kwa mungu ,mungu baba Ana wivu anataka tumpe nafsi na yey kumtafakari

Zuchu umenikosha sna
 
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram.

Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada sana.

Sisi watanzania tunamtakia mfungo mwema wa Ramadhan aendelee kuepuka vishawishi haswa vya wanaotafuta kiki ndani ya mwezi huu ili waongelewe na kukwaza wengine.
Hahahaha anatakiwa atubu dhambi zote ila dhambi ya kufanyiwa kinyume na maumbile kama alivyo utangazia umma wiki mbili zilizopita sidhani kama atasamehewa….
Yani ibada itakayomfaa yeye labda aolewe na yule anayemfanyia kinyume na maumbile….
Zuchu anapoteza muda tuu kujitoa instagram kwani ibada sio lazima kujitoa instagram……
 
Duh naona unaelezea tabia zako wahuni wanavyokufanya
 
Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada sana.
Baada ya mfungo ataendela kumpa Sunna, utamaduni wa kizenji ule
 
kumbe tunaacha dhambi kwa mwezi mmoja tu ramadhani ikiisha tunaanzia tulipoishia
 
Ibada inafanywa mwezi wa ramadhani tu , Mungu atunusuru
 
Back
Top Bottom