Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

Wewe kama unamchukia nandy sema tu, huwezi kumfananisha nandy na zuchu kamwe kwanza watu watakucheka huyo zuchu ni underground sema anabebwa kinguvu nandy ni msanii mkubwa ameshachukua tuzo kibao tena anabahati alianza alipokuwa underground alipewa nigeria tuzo na yemi alade nakumbuka akamtabilia kufika mbali, zuchu bado sana kumfikia nandy na anataka kupata umaarufu kupitia nandy ukweli ndio huo upo wazi tatizo mnakutupuka tuuu, zuchu hata uimbaji wake ni underground kabisa angeenda upande wa mama yake taarabu kidogo angefiti mpemba huyo, mi sina ushabiki but muulize mtu mwenye kuelewa mziki atakuelekeza
 
Lebo dunuani kote kazi yao kubwa ni kumbeba msanii,kumpromoti na kuhakikisha anafika mbali.So mpaka unamwona Zuchu hapo jua Lebo imefanya kazi yake kama inavyotakiwa.

Alafu watu mmesahau huyu Nandy alikuwa KIPENZI CHA BOSS MJENGONI,alikuwa anabebwa waziwazi sema sasa hivi mbeleko hamna sababu boss kishavuta,lkn Nandy Kabebwa sana tena sana,kuanzia promo,show kubwakubwa,kutungiwa nyimbo na kupata air time ya kutosha.
 
Hadi sasa hiv bado anapewa promo kubwa pale mawingu fm
 
pumbavu, Mimi nauelewa mziki zaidi yako nasema nandy ni utopolo uliochangamka, Kama point yako ni tuzo na mda mwingi mbona harmonize mnamshindanisha na diamond, achilia mbali diamond rayvanny ana BET mbona ametulia.

ZICHU NI BIG KULIKO NANDY MAKIKI
 
fact NI mda wa zuchu now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…