Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

jamii forum tumeamua kwenda na rayvanny pamoja na zuchu sawa kijana
usiseme jamii forum sema wewe ndio umeamua kwenda na zuchu na rayvanny kwa nini usemee mioyo ya wengine all in all kama umeamua kuwa support hao lakini haitakuwa sababu ya hao wengine kutofanikiwa still bado wanaingiza mkwanja
 
Bila picha huu uzi wako ni batili.
 
NUMBER ONE Rayvanny and ft zuchu ni Kali sana kuliko NIBAKISHIE ya nandy ft kibamia
emoji31.png
emoji31.png
emoji31.png
😂😂😂😂😂
 
wanawapamanisha ni mashabiki, wao wanafanya yao tu. Kama kutoa nyimbo nandy amekuwa akitoa nyimbo toka mwaka juzi bampa to bampa.
sawa but why, asitoe bampa to bampa akitoa maua sama au Ruby but mpaka atoe zuchu ndo hoja yangu ilipo.
 
usiseme jamii forum sema wewe ndio umeamua kwenda na zuchu na rayvanny kwa nini usemee mioyo ya wengine all in all kama umeamua kuwa support hao lakini haitakuwa sababu ya hao wengine kutofanikiwa still bado wanaingiza mkwanja
nimesema jamii forum kwa sababu wamekosa na fasi ya kuzungumza but all in all Mimi ndo chairman wao
 
Back
Top Bottom