Zuchu alalamikia kutolipwa Malipo yote tamasha la CHAN 2024

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa makubaliano, bado hajapokea malipo yake yote.

Katika ujumbe wake wa wazi, Zuchu amefichua kuwa amekuwa akijaribu kuwasiliana na waandaaji hao bila mafanikio kwa wiki tatu sasa, huku simu na ujumbe wa timu yake ukipuuzwa.

Msanii huyo ameonya kuwa iwapo malipo yake hayatashughulikiwa mara moja, atalazimika kuchukua hatua za kisheria kudai haki yake.
1758210346038.png

1758210394099.png
 
View attachment 3475080

View attachment 3475081
Kumbe Zuchu ni Mweusi🤣
 
Waswahili bwana, yani malipo kuchelewa wiki tatu tu ndio kashaanza kuwachamba mitandanoni!
Halafu angeandika kiswahili tu, CAF hawawezi kukosa mtafsiri wa lugha.
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa makubaliano, bado hajapokea malipo yake yote.

Katika ujumbe wake wa wazi, Zuchu amefichua kuwa amekuwa akijaribu kuwasiliana na waandaaji hao bila mafanikio kwa wiki tatu sasa, huku simu na ujumbe wa timu yake ukipuuzwa.

Msanii huyo ameonya kuwa iwapo malipo yake hayatashughulikiwa mara moja, atalazimika kuchukua hatua za kisheria kudai haki yake.
View attachment 3475080

View attachment 3475081
As long as mitano tena, haituhusu. Hatujui T&C za mkataba
 
Boss wake si kasema vijana wachape kazi waache kulalamika. Nilifikiri vitendo vya hiyo kauli tutaanzia kuviona uko uko ofisini kwao
 
Doh maskini… nadhani asingeleta suala ig asingelipwa. Wakenya uwasikie hivi hivi, wanaweza kufunga kampuni yao kukwepa kukulipa. Asirudie tena kufanya show bila malipo full
 
Back
Top Bottom