Kumbe Zuchu ni Mweusi🤣Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa makubaliano, bado hajapokea malipo yake yote.
Katika ujumbe wake wa wazi, Zuchu amefichua kuwa amekuwa akijaribu kuwasiliana na waandaaji hao bila mafanikio kwa wiki tatu sasa, huku simu na ujumbe wa timu yake ukipuuzwa.
Msanii huyo ameonya kuwa iwapo malipo yake hayatashughulikiwa mara moja, atalazimika kuchukua hatua za kisheria kudai haki yake.
View attachment 3475080
View attachment 3475081
Hajawaandikia CAF.Waswahili bwana, yani malipo kuchelewa wiki tatu tu ndio kashaanza kuwachamba mitandanoni!
Halafu angeandika kiswahili tu, CAF hawawezi kukosa mtafsiri wa lugha.
Tena mkubwa mno!Muziki ni ushetani
As long as mitano tena, haituhusu. Hatujui T&C za mkatabaStaa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa makubaliano, bado hajapokea malipo yake yote.
Katika ujumbe wake wa wazi, Zuchu amefichua kuwa amekuwa akijaribu kuwasiliana na waandaaji hao bila mafanikio kwa wiki tatu sasa, huku simu na ujumbe wa timu yake ukipuuzwa.
Msanii huyo ameonya kuwa iwapo malipo yake hayatashughulikiwa mara moja, atalazimika kuchukua hatua za kisheria kudai haki yake.
View attachment 3475080
View attachment 3475081
Una akili sanaWaliona hajafanya show nzuri
Sijawahi kuelewa nyimbo za huyu dada! Nahisi huwa anaimbia watoto!
Alipwe pesa zake maana yale ni makubaliano