Zuchu amewaza nini kwenye video ya wimbo wake wa Antenna?

Zuchu amewaza nini kwenye video ya wimbo wake wa Antenna?

Ni Ubunifu2..Sometimes tufanye vitu vya kitofauti..we huoni Thriller ya MJ ilivokua?..Story kaiandaa mwenyewe then kapata na director bora wa kui'actualize safi kabisa (Fole X)
ubunifu wa hivyo mbona ni wa kuzidisha

ujue hata kwa wenzetu mara nyingi inatokea wasanii wanapondwa kwasababu ya kuzidisha satanic imagery
 
you guys are taking things seriously!! yan hiki nako ni cha kukijadili? si ni vile king'ang'a ameamua kuja kivingine kaka?? au wenzetu ndio mmefungua third eye mkaona huo ushetani? we nipe vimacho, tikisa vimacho, lazima irudiwe sababu nataka tena!!
mimi macho ya kiroho wala sina ila vitu vya kutisha utavijua tu
 
sema dogo acha uoga, Kama una angalia sawa x hiyo nyimbo Ina kuchanganya kipi??.

back in the days kulikuwa na movies za kutisha Kama, nsyuka, saladini, shumileta na hata zile za sultan tamba oya kulala ili kuwa jau😂😂
 
Humu ndani watu tuna uelewa tofauti tofauti lakini lakini pia watu wa fb wapo, just imagine hawa wasanii wa bongo kuhusishwa na freemason ni matokeo ya editing videos and myth stories toka kwenye account za youtube na mtu na elimu yake anazibeba kama zilivyo na kuzileta jf kwa watu wenye IQ pana kabisa. sio kwamba najiongelesha tu artist wengi nmekaa nao so hizi stori za mara ooh frimason mara oooh ka mpdidi nan, sipendi mtu mwenye akili kubwa apelekekeshwe na tiktokers,youtubers kwa fake details....
 
upo sahihi kabisa

mimi binafsi hayo mambo ya ufreemason sijawahi kuyaelewa

lakini watanzania wengi ni watu wa dini, wana mitazamo yao maalum
 
Back
Top Bottom