Bosi kitambi Meneja
Member
- Jan 13, 2025
- 21
- 39
Msanii akikwambia ni usiku pliz kabla ya kulala hakikisha umeangalia nje Kama ni kweli,maana ni wahuni tu hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataoa akishuka kimuzikai kwa sasa hawezi.Diamond sijui kama atakuja aoe, maana familia yake ni kama hawataki awe na ndoa.
Kila mwanamke wa diamond ni mbaya tu jamani?
Wale wanapenda ndugu yao asiishi maisha ya kindoa maana hawatakuwa na uhuru nae.
Saa ngapi tena wakati wanakua kwenye mashamsham 😜Hayo mambo si angemwambia privately?
Ana maisha gani ya kuharibu wakati yaliharibika zamani? Japo Nassib anajinasibu na fedha na fame, hana maisha ya kuitwa maisha. Ni stage shows tu za kawaida. Angalie asije kuwa P Diddy mtajarajiwaMsanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Na wamemtumia kweli aisee...mwee!Familia yao wanakaona kahuni tu na huyo bwana mpenzi wako angekupenda mngefunga ndoa , na familia ingemsisitiza akuoe
Wamekachoka maskini , na hv anakuspend atakavyo Dah umaskini mbaya
Nasikitika sana haya yanatokea na yanamtokea nyota na nguli dada ZuchuMsanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
Pia, Soma: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
Kwani kiongozi wa hiyo media si diamond! angemwambia tu kimya kimya au angeweza kwenda kwa uongozi wa kituo chenyewe akawasilisha dukuduku lake. Anyway, sina mamlaka ya kumpangia yeyote cha kufanya...Saa ngapi tena wakati wanakua kwenye mashamsham 😜
😁Kuna jamaa yangu mmoja anampenda sana Zuchu, ukimkuta anagombana na mkewe kuhusu hilo utacheka uzimeHuyu mwanamke angejua ni kiasi gani nina mpenda asinge poteza time na Simba japo pia Mwamba namkubali kinoma
mwaka jana nusra niambukizwe gono na Kabinti flan nilikadandia kisa kanafanana na Zuchu.. sema nilijiongeza
Mtoto wa Kipemba achana na Kijana wa Dar huyo, njoo kwa Mwamba Wa North zone huku, hela natafuta ila uhakika wa Penzi la dhati upo….. hebu fanya kama Jlo kwenye Movie ya Marry Me .. tuishangaze dunia Mwaka huu
😁Kuna jamaa yangu mmoja anampenda sana Zuchu, ukimkuta anagombana na mkewe kuhusu hilo utacheka uzime
Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham.
View attachment 3203758
Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibia heshima.
Soma: Zuchu atangaza kuachana tena na Diamond. Ni kiki ya wimbo mpya au ndo uvumilivu umemshinda?
View attachment 3203767
"Kinachoendelea sasa mitandaoni kupitia maudhui ya kipindi chenu Mashamsham kimekuwa kama sehemu ya kuniumiza na kunididimiza kisanaa na kiafya ya mwili na akili. Lakini nasema nashukuru na nimeyapokea yote."
"Nimekuwa msanii wa taasisi mwenye kasi na mwenye kuipambania kazi yangu licha ya uwekezaji unaofanywa na kampuni yenu. Sikatai, ni jambo kubwa na la kheri kumkomboa binti mwenye kipaji kwa kumwekezea. Lakini nauliza, je, ni haki uwekezaji huo kutumika kama silaha pia? Au niliwakosea nini mpaka kufikia kunifanyia bullying na harassment hizi?"
View attachment 3203769
"Nasibu (Diamond Platnumz), familia yako wana baya langu lipi ambalo wanaona ni haki wao hata wakiwa na mahojiano binafsi kutokuweka stara ya mambo yangu, huku wakihakikisha hawakuharibii wewe bali mimi."
"Nimefikia hatua leo naandika barua ya kisheria kwa walezi wangu kutokana na ukandamizaji wa mara kwa mara juu yangu. Inauma sana. Nitaenda mahakamani, na pengine sitaweza kushinda taasisi yenu yenye nguvu, lakini hata nikishindwa huko namwachia Mwenyezi Mungu, yeye ndiye hakimu wa mwisho."
"ASANTENI NASHUKURU kwa kuendelea kunibully na kuniharrass.
"Nimeomba sana kwako kama kiongozi, lakini mara nyingi maombi yangu hugonga mwamba na kunatengenezwa maudhui yenye kusudio la kunivunjia heshima, kuniumiza, na kuharibu afya yangu ya kiakili. Mimi ni binti na mwanamuziki, lakini sijawahi kuona media yoyote inaniharass kama ambavyo media ya taasisi yenu imekuwa ikifanya."
"Sina cha kuwafanya kikubwa. Nyinyi ni wenye nguvu, na mimi namshitakia Mwenye Ukuu na Utukufu zaidi yangu. Ninaamini zaidi kwa Mungu. ASANTENI SANA NASHUKURU."
View attachment 3203757
View attachment 3203960View attachment 3203961View attachment 3203962
View attachment 3203963