Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

Diamond sijui kama atakuja aoe, maana familia yake ni kama hawataki awe na ndoa.
Kila mwanamke wa diamond ni mbaya tu jamani?
Wale wanapenda ndugu yao asiishi maisha ya kindoa maana hawatakuwa na uhuru nae.
 
Diamond sijui kama atakuja aoe, maana familia yake ni kama hawataki awe na ndoa.
Kila mwanamke wa diamond ni mbaya tu jamani?
Wale wanapenda ndugu yao asiishi maisha ya kindoa maana hawatakuwa na uhuru nae.
Ataoa akishuka kimuzikai kwa sasa hawezi.
Na mama huenda ndiye ana final say hata kama kijana anampenda mwanamke akimkataa basi ...
 
Ana maisha gani ya kuharibu wakati yaliharibika zamani? Japo Nassib anajinasibu na fedha na fame, hana maisha ya kuitwa maisha. Ni stage shows tu za kawaida. Angalie asije kuwa P Diddy mtajarajiwa
 
There's a lot of shit going on behind the scenes.
Ndo maana vannesa alijitoa, zuchu bado hajakua kifikra, angelitambua mapema kua hana Chake na anatumika asinge anzisha mahusiano na boss wake. She's gonna be miserable sana na bado damu mbichi mtoto wa watu
 
Nasikitika sana haya yanatokea na yanamtokea nyota na nguli dada Zuchu
 
Huyu mwanamke angejua ni kiasi gani nina mpenda asinge poteza time na Simba japo pia Mwamba namkubali kinoma
mwaka jana nusra niambukizwe gono na Kabinti flan nilikadandia kisa kanafanana na Zuchu.. sema nilijiongeza
Mtoto wa Kipemba achana na Kijana wa Dar huyo, njoo kwa Mwamba Wa North zone huku, hela natafuta ila uhakika wa Penzi la dhati upo….. hebu fanya kama Jlo kwenye Movie ya Marry Me .. tuishangaze dunia Mwaka huu
 
😁Kuna jamaa yangu mmoja anampenda sana Zuchu, ukimkuta anagombana na mkewe kuhusu hilo utacheka uzime
 
😁Kuna jamaa yangu mmoja anampenda sana Zuchu, ukimkuta anagombana na mkewe kuhusu hilo utacheka uzime

Zuchu ni Mwanamke mzuri sana, yaan mi nakapenda kalivyo kadogo kadogo kama katoto yaan ni zile sampuli unakua unabeba unapeleka bafuni unakaosha then kana vaa nguo nyepesi unaweka mapajani unalisha na kukanywesha maziwa ama juisi etc then kakishiba unakafuta mdomo unakaweka kifuani unakabembeleza kalale na hivi kana nywele fupi ni kumassage kichwa, mgongo mwanzo mwisho mpaka kasinzie.. yaan iyo inakua daily dose mpaka ukiwa unaenda kwenye kazi zetu za kunuka nguvu kawe kanakulilia..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…