Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii imeenda 🀣🀣 na imekaaa kimkakati na kama kakipita hapa mbona tutachoma ubani 2025 hii
 
πŸ˜πŸ˜€Sasa mkuu katapata muda wa kupanda majukwaani kwa style hiyo?

Mademu siku hizi hawapendi mahaba niue, wanataka nginja nginja wateseke, wajute, wanywe sumu wanusurike kukata moto nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…