Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri...
Zuchu baada ya kuona maoni hayo ya shabiki yake hakutaka kuyaaacha badala yake alimjibu shabiki huyo kuwa pamoja na ubaya wake ila yeye ana bwana tajiri na amekolea kweli kweli kwake na hapindui na anaishi kwenye hekalu na pia kwa sasa ana gari mbili na ya tatu ameagiza inakuja.